John 11:38

Yesu Amfufua Lazaro

38 aYesu kwa mara nyingine akiwa amefadhaika sana, akafika penye kaburi. Hilo kaburi lilikuwa pango ambalo jiwe lilikuwa limewekwa kwenye ingilio lake.
Copyright information for SwhNEN